Introduction: This is a tiktok video published by Geemwita. The video has now received more than 2.2K likes, 30 comments and 20 shares. It is deeply loved by fans. The following is the specific data and similar videos. Address, you can complete the operation on this page by clicking play or bookmarking the video.
Nilifurahi sana jana kufika katika ofisi za Umoja wa mataifa (agency ya vijana) ili kuweza kukabidhi vyeti vya kumaliza mafunzo kwa vijana 35 wenye miaka 08 - 17 ambao walikua wakipata mafunzo ya elimu ya fedha, dijiti, biashara, fursa, uongozi, na ujasiriamali. Lengo la jukwaa la @natokajekidigitali ni kuhakikisha vijana wadogo wanakua na nafasi ya kufanya informed decision linapokuja suala la kutumia mitandao, fedha, fursa, kujisimamia kibiashara, na uongozi.
Duration: 61 sPosted : Wed, 03 Apr 2024 06:17:50Views
60.6KDaily-
Likes
2.2KDaily-
Comments
30Daily-
Shares
20Daily-
ER
3.70%Daily-
Latest Videos
Similar Videos
Watch moreMore Videos
Watch more