TikTok E-commerce Data Analytics, Choose Tikmeta
Get Started
Introduction: This is a tiktok video published by foodlovers.tz. The video has now received more than 12.9K likes, 162 comments and 1.2K shares. It is deeply loved by fans. The following is the specific data and similar videos. Address, you can complete the operation on this page by clicking play or bookmarking the video.
Views
390.2KDaily-
Likes
12.9KDaily-
Comments
162Daily-
Shares
1.2KDaily-
ER
3.66%Daily-
Latest Videos
Wapenzi, mnafahamu kua flavour za @foodlovers.tz ni utamu guaranteed 👌🏽. Hebu andaa hii juice hapo ndani mfurahie na uwapendao . Halafu chukua kitabu cha Juice Pro@Vyombo Centre upate uhakika wa juice nzuri kila siku. Kwa Dar, vitabu by Juice Pro mnavipata dukani kwa @haraka_spice_shop ( 0652-285950 au 0752-202038 ) Sinza Kamanyora kwa Tsh.40,000/= . Huduma ya delivery pia ipo unaagiza na spices zako za chakula kitamu. Kanda ya ziwa, wasiliana nami 0717-717836 📍Slow juicer Original na Vyombo vizurii mnavipata @vyombo_centre popote ulipo unatumiwa kwa uaminifu @vyombo_centre , nani na nje ya Tz, pamoja na vyombo vingine vyootevya jikoni.
158.1K
4.2K
90
foodlovers.tz
8 months ago
Wapenzi, kama hukua unazingaatia point namba 3 hakikisha unaanza leo kutilia maanani. @covenantcosmetics Kupata ushauri wa ngozi na tips zaidi za vipodozi fika kesha kwa @covenant_cosmetics kwenye uzinduzi wa branch yao mpya ya Sinza Mugabe yalipo mataa kuelekea mawasiliano @covenant_cosmetics. Usisahau kushare na umpendae aongeze maarifa Wewe kitu gani hua unazingatia zaidi?
72.9K
2.6K
41
foodlovers.tz
8 months ago
Wapenzi, hii recipe ukiandaa samaki wanafaa sana kufinyia ugali 😀😁 yaani utamu guaranteed 👌🏽 na mboga ya majani pembeni uipendayo. Kupata Mamasita Oyster sauce, 📌 DAR-ES-SALAAM Unapata supermarkets za Shoppers, Jambo, Maisha, Viva, Poa, kwa uhakika lakini supermarkets nyingine pia zipo, masoko makubwa yote unazipata kwa wauzaji wa vibanda. 📌 MWANZA Unapata supermarkets za Nono , U-turn , Protas ( samaki round about & rufiji street ), Lavena supermarket pamoja na soko kuu zinauzwa kwenye vibanda vingi tu. 📌 ARUSHA & MOSHI Supermarkets za Panone, shoppers,Sokoni Arusha pia zipo. 📌 Kwa dodoma, shoppers supermarket unazipata. 📌 Kwa morogoro zinauzwa sokoni. Mamasita Oyser Sauce zinapatikana supermarkets karibia nchi zima.
249.4K
7.1K
34
foodlovers.tz
8 months ago
Similar Videos
Watch moreMore Videos
Watch more